Chelsea waendelea vizuri na kampeni yao ya kutafuta ubingwa kwa msimu huu na inaonekana hawapo vibaya sana kwenye kampeni hiyo. Hadi sa...

Chelsea waendelea vizuri na kampeni yao ya kutafuta ubingwa kwa msimu huu na inaonekana hawapo vibaya sana kwenye kampeni hiyo. Hadi sa...
Uongozi wa Ndanda fc kutoka mkoani Mtwara imethibitisha kumalizana na Kocha Abdallah Mohamed Bares na nafasi yake itakaimiwa na Mkuruge...
Kiungo mwenye pasi, Zahoro Pazi sasa yuko huru kuanza kuitumikia Mbeya City. Hiyo inatokana na FC Lupopo ya DR Congo kukubali kutoa U...
WINGA wa kushoto wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, anatarajia kuondoka nchini kesho Jumatano saa 5.00 u...
KOCHA wa Simba SC, Joseph Marius Omog amefurahishwa na hali ya kujituma ya wachezaji wake katika mechi mbili za mwanzo za mzunguko wa pi...
Wachezaji wa Yanga, jana Jumapili wamekumbana na balaa katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Sal...
Mambo yanazidi kwenda moto kwa mshambuliaji Thomas Ulimwengu baada ya kupata ofa nyingine ya dola milioni 1 (zaidi ya Sh bilioni 2.2). ...
Uongozi wa Benchi la Ufundi la Yanga chini ya Kocha Mzambia, George Lwandamina na wachezaji wote wa timu hiyo, hivi karibuni walimuaga ...
Leo katika uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Kibaha, Pwani, Ruvu Shooting anamualika Tanzania Prisons katika mchezo wa VPL. Ushindi kwa R...
Mshambuliaji Muargentina, Carlos Tevez amefunga ndoa na Vanesa Mansilla. Tevez alipigwa picha akiwa amevalia suti maridadi. Nyot...
Sam Allardyce huenda akarithi mikoba ya Alan Pardew kuifundisha klabu ya Crystal Palace. Pardew aliyekuwa kocha wa Palace alifutwa kazi...
Kiungo aliyetemwa na klabu ya Azam FC na APR mnyarwanda Jean Baptiste Mugiraneza ‘Migi’ yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Gor Mahia ya K...
Yanga itaingia uwanjani kucheza dhidi ya Yanga ikiwa bila mshambuliaji wake hatari raia wa Zimbabwe Donald Ngoma anayetumikia kadi tatu...
Haruna Niyonzima ni moja ya nyota wa Yanga ambao kwa sasa ndiyo gumzo mjini pamoja na Simon Msuva kutokana na kufanya kweli siku za hivi ...
WAKATI ‘raundi ya 17 ya ligi kuu Tanzania bara ikitaraji kuendelea Ijumaa na Jumamosi hii, kikosi cha Mbeya City FC kimeendelea na mazo...
Uongozi wa klabu ya Simba umefanikiwa kukamilisha suala la vibali vya wachezaji na makocha wake. Serikali ilitoa agizo jana kwamba kw...
Waandaaji wa Olympic ya Tokoyo mwaka 2020 wamewasilisha mapitio ya bajeti ya michezo hiyo ambayo imeonekana kuwa na mapungufu makubwa y...
Klabu ya Crystal Palace imeachana na Kocha mkufunzi wake Alan Pardew kufuatia mwenendo mbovu walio nao msimu huu wa ligi kuu ya England. ...
Chama cha soka cha Afrika kusini (SAFA) kimemtimua Ephraim 'Shakes' Mashaba aliyekuwa akiinoa Bafana Bafana na kuahidi kumchuku...
Tanzania imepanda kwa nafasi nne kutoka nafasi ya 160 mwezi uliopita hadi nafasi ya 156 mwezi huu kwa mujibu wa viwango vya ubora vya sok...
Klabu ya Chapecoense ya Brazil ambayo hivi karibuni ilipoteza takribani kikosi kizima kutokana na ajali ya ndege iliyotokea karibu na mji...
Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea kesho kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam kati ya African Lyon dhidi ya m...
Shirikisho la Soka nchini TFF limeanza kufikiria kubadili tarehe ya mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara VPL kati ya...
Mechi 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili za zitafungua mwaka 2017 amba...