Tanzania
imepanda kwa nafasi nne kutoka nafasi ya 160 mwezi uliopita hadi nafasi ya 156
mwezi huu kwa mujibu wa viwango vya ubora vya soka vinavyotokewa na shirikisho
la soka duniani FIFA kila mwezi.
Kenya haina
mabadiliko inaendelea kusalia katika nafasi ya 89 wakati Uganda ikipanda kwa
nafasi moja kutoka nafasi ya 73 hadi nafasi ya 72.
Argentina wanaendelea kutawala ulimwengu wa soka
wakifuatiwa na Brazil iliyopo nafasi ya pili, nafasi ya tatu inashikiliwa na
Ujerumani
0 comments:
Post a Comment