Luis Suarez amewataja Sergio Ramos, Thiago Silva na Diego Godin kama mabeki watatu ambao humpa wakati mgumu sana pindi anapocheza nao. ...
Luis Suarez amewataja Sergio Ramos, Thiago Silva na Diego Godin kama mabeki watatu ambao humpa wakati mgumu sana pindi anapocheza nao. ...
KIKOSI cha vijana cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC ‘Azam Academy’ inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu...
Arda Turan ametanabaisha kuwa, k uchezea klabu kama Barcelona ni zawadi kubwa iliyotokana na uwezo wake uwanjani na kufiti na staili ya u...
YANGA washindwe wenyewe kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya siri zote kuhusiana na ubora na udhaifu wa wapinzan...
MSHAMBULIAJI hatari wa Al Ahly ya Misri inayotarajiwa kuvaana na Yanga katika mchezo wa raundi ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Malick Ev...
Anamaanisha hivi: "Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha kipa wa timu yetu ya taifa ya Uganda Cranes Abel Dh...
Romelu Lukaku amesema hana tatizo lolote ikiwa atapata nafasi nyingine ya kuwa chini ya kocha ya Jose Mourinho ambaye hapo awali walikuwa...
Olivier Giroud pengine hayuko kwenye kiwango kizuri kwa sasa kwenye klabu yake ya Arsenal, lakini alikuwa kwenye kiwango cha aina yake wa...
Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema anataka kukutana na kati ya timu tatu za Yanga, Simba au Azam FC, katika nusu fainali...
Uongozi wa klabu ya Azam FC umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF )kuahirisha baadhi ya michezo yake ili ipate muda wa kuiandaa tim...
Mshambuliaji wa Uholanzi Klaas-Jan Huntelaar amevunja pua ya kipa wa Uholanzi Jasper Cillessen wkati wakiwa mazoezini. Hali hiyo ilikuj...
Striker wa Leister City aliingia uwanjani zikiwa zimesalia dakika 20 game kumalizika wakati huo England ikiwa nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumatatu kati ya Tanzania dhidi ya Chad utakaochezwa katika...
Nigeria na Misri walikuwa na shughuli pevu jana katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon), mchezo uliofanyik...
Straika Amissi Tambwe amesema haina haja ya mashabiki wa Yanga kuihofia Al Ahly kwani wana uwezo na wamepania kuifunga timu hiyo ya Misri...
Mshambuliaji Elias Maguri amebakiza miezi miwili tu katika mkataba wake na Stand United, amesema hana mpango wa kubaki kutokana na jinsi ...
Kikosi cha Taifa Stars kimefanya mazoezi kwa mara ya kwanza leo jioni tangu watue kutoka Chad walipopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya weny...
Kwa mujibu wa marekebisho ya ratiba ya Vpl yaliyofanywa na bodi ya ligi: Aprili 6 uwanja wa Taifa ni Yanga vs Mtibwa, ligi kuu. Pia ratib...
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm kwa sasa hataki kubughudhiwa kwa sababu yuko bize akifukunyua na kuzisoma mbinu za wapinzani wake Al ...
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi ya leo imeichapa Friends Rangers mabao 7-1 katika mchezo wa kirafiki wa mazoezi...
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri utakuwa mgumu kutokana na ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuwab...
Nahodha wa zamani wa Barcelona Xavi Hernandez, amemuelezea Lionel Messi kama mchezaji bora kuliko Cristiano Ronaldo, na pia mwenye aki...
Chile: Bravo 6, Isla 5.5, Medel 6.5, Jara 7, Mena 6.5, Diaz 6 (Rabello 21, 5.5, Pinilla 69, 6)), Gutierrez 8, M Fernandez (Silva 6, 7) Or...
Usiku wa kuamkia leo kumechezwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ni michezo ya kujiandaa na michuano ya kombe la ulaya. Mabingwa ...
Kiungo wa wekundu wa Msimbazi na timu ya taifa ya Tanzania Mwinyi Kazimoto, yeye furaha yake ya ushindi ameionesha kwenye kupitia account...
Mbwana Samatta akivaa kitambaa cha unahodha kwa mara ya kwanza, amekiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kupata ush...
VODACOM PREMIER LEAGUE SCAN DOC..pdf by MahmoudRNtandu -Marekebisho ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom yamezingatia mechi za viporo z...
Klabu ya Simba leo asubuhi kupitia msemaji wake Haji Manara imewasilisha barua rasmi ya kutoa malalamiko yake pamoja na kutor...
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger, ameshindwa kufanya mazoezi na wenzake katika kikosi cha Ujerumani kutokana na kusumbu...
1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Haji Mwinyi 4. Erasto Nyoni 5. Kelvin Yondani 6. Himid Mao 7. Jonas Mkude 8. Mwinyi...