Monday, March 28, 2016

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema anataka kukutana na kati ya timu tatu za Yanga, Simba au Azam FC, katika nusu fainali ya Kombe la FA kwa kuwa anajua ni nyepesi sanaaa.
Julio alisema sababu ya kusema hivyo ni kutokana na timu hizo kujiona zimekamilika ukilinganisha na timu yake ambayo inadharaulika na kuitwa inawachezaji wengi wazee wanaoelekea kustaafu soka.
“Waje tena Yanga, Simba au Azam FC ndiyo wanafungika kwa urahisi, nawajua ndiyo maana nataka tukutane na mmoja wao,” amesema Julio.
Azam, Yanga na Simba bado hazijacheza michezo yao ya robo fainali kwenda nusu fainali na kama zikifanikiwa kuvuka moja wapo inaweza kukutana na Mwadui ilikuwa ya kwanza kutinga hatua hiyo ya nusu fainali baada ya kuwafunga Geita Gold Mine mabao 3-0.
Credit:Bongosoka.com

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video