Olivier Giroud pengine hayuko kwenye kiwango kizuri kwa sasa kwenye klabu yake ya Arsenal, lakini alikuwa kwenye kiwango cha aina yake wakati akiichezea timu yake ya Taifa ya Ufaransa dhidi ya Uholanzi Jumamosi usiku.
Giroud alifunga goli kali la 'volley' na kuipa timu yake uongozi wa magoli 2-0, katika mchezo uliomalizika kwa Ufaransa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.
Katika moja ya matukio ya kusisimua ni pale alipompiga tobo mahiri beki wa kushoto wa PSV Eindhoven Jetro Willems na kumpa pasi murua kiungo mahiri wa timu yake Dmitri Payet
Angalia kwa umakini video hii
0 comments:
Post a Comment