
Suarez amewataja mabeki hao kutokana na kukumbana nao katika mashindano mbalimbali ya Ulaya.
Suarez amekumbana na Ramos akiwa Barcelona na amefunga mara tatu dhidi ya Thiago Silva wa PSG katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita. Amekutana na Diego Godin wa Atletico Madrid kwenye La Liga na huku akicheza naye pia kwenye timu ya taifa ya Uruguay.
#MinutoCeleste con Luis Suárez
El goleador histórico de la Celeste, Luis Suárez, respondió tus preguntas en un #MinutoCeleste.Gracias a todos los que han participado a través del Facebook de la AUF.
Posted by AUF - Selección Uruguaya de Fútbol on Tuesday, 29 March 2016
0 comments:
Post a Comment