Wednesday, March 23, 2016

Kiungo wa wekundu wa Msimbazi na timu ya taifa ya Tanzania Mwinyi Kazimoto, yeye furaha yake ya ushindi ameionesha kwenye kupitia account yake ya facebook mbapo ameanfika ujumbe wenye kauli ya Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ambayo kuna wakati aliitumia Bungeni na kauli hiyo ikapata umaarufu mkubwa sana ‘wapigwe’.
Hii hapa ndiyo kauli ambayo imeandikwa na mchezaji huyo mzoefu kwenye soka la Bongo na kimataifa pia.
“Hakuna namna zaidi ya kupigwa,,,,watanzania wamesema wachad wapigwe na wamepigwa hakuna namna,,,,‪#‎TANZANIA kwanza…”, hivyo ndivyo ujumbe huo wa Kazimoto unavyosomeka.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video