Friday, March 25, 2016

Insigne loses his man to poke a close-range finish past Spain goalkeeper David de Gea to give Italy a 1-0 lead on 67 minutes in Udine
Usiku wa kuamkia leo kumechezwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ikiwa ni michezo ya kujiandaa na michuano ya kombe la ulaya.
Mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2010 Hispania walitosha nguvu na itali kwa kufunga bao 1-1,Uturuki wakapata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sweden.
Malta wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wameambulia sare ya 0-0 na Moldova, Norway na Estonia nao wakashindwa kutambiana baada ya kwenda sare ya bila bila.
Matokeo mengine
Ugiriki 2-1 Montenegro 1
Denmark 2 -1Iceland 1
Ukraine 1-0 Cyprus 0
Jamuhuri ya Czech 0-1 Scotland
wales 1-1 Ireland ya kaskazini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video