Saturday, September 17, 2016

 
Dondoo muhimu
  • Arsenal wameshinda mechi sita kwenye Uwanja wa KCOM kwenye michuano yote, zaidi ya uwanja wowote wa ugenini mwingine.
  • Hull City kwa mara ya kwanza wamepoteza mechi mbili mfululizo kwenye uwanja wao wa nyumbani tangu Mei 2015
  • Sanchez amehusika kwenye magoli nane katika mechi tano alizokutana na Hull City kwenye michuano yote (magoli sita, assists mbili).
  • Penati aliyokosa Sanchez ina maana kwamba ni mchezaji pekee wa Arsenal aliyepiga penati nyingi zaidi na kukosa zote.
  • Arsenal hawajafungwa kwenye michezo ya ligi 26 iliyopita na timu yoyote iliyopanda daraja msimu husika (wameshinda mara 22, sare mara 4).

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video