Saturday, May 16, 2015


SADIO Mane, raia wa Senegal amefunga magoli matatu peke yake 'Hat-tric' Southampton ikishinda 6-1 dhidi ya Aston Villa katika mechi ya mapema ya ligi kuu England leo.
Mane alifunga magoli hayo katika dakika ya 13' 14' na 16 hivyo kuvunja rekodi ya hat trick iliyokuwa inashikiliwa na  mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Robbie Fowler  aliyefunga mabao matatu ndani ya dakika tano.



Rekodi hiyo ya Fowler imeendelea kudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka nane (8).

Magoli mengine ya Southampton anayochezea mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama yamefungwa na Shane Long katika dakika ya 26' na 38' na Graziano Pelle alifunga goli la sita dakika ya 81.
Christiani Benteke aliifungia Aston Villa goli la kufutia machozi katika dakika ya 45'.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video