Saturday, September 17, 2016

Mchezaji bora wa Klabu ya Simba kwa mwezi Agosti, 2016 Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'leo amekabidhiwa tuzo yake mbele ya mashahiki waliokuja kushuhudia mchezo kati ya Azam Fc na Simba Sc. 
Pamoja na tuzo hiyo Zimbwe Jr pia amekabidhiwa Tsh 500,000/= kama sehemu ya zawadi kwa mchezaji bora. 
Hii ni tuzo ya kwanza kutolewa kwa msimu huu 2016/2017 ambapo leo ilikabidhiwa kwa Zimbwe Jr na Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group Imani Kajula pamoja na Makamu wa Rais wa Simba Geophrey Nyange  kabla ya mchezo wa leo kuanza, mchezo ambao umekwisha kwa Simba kuibuka kidedea kwa kuifunga Azam FC kwa goli moja bila, goli lililofungwa na Shiza Kichuya Dakika ya 68 Kipindi cha Pili.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video