
Leicester City wamezidi kujiwekea mazingira mazuri baada ya kujipatia alama tatu muhimu kutokana na kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Crystal Palace, mchezo uliopigwa katika dimba la Selhurst Park maskani kwa Palace. Goli pekee la Leicester lilifungwa na Riyad Mahrez.
Crystal Palace (4-3-2-1): Hennessey; Ward, Dann, Delaney, Souare (Kelly 45); Cabaye, Jedinak (c), Ledley; Zaha, Bolasie; Adebayor (Sako 45)
Subs zisizotumika: Speroni, Mutch, Puncheon, Campbell, Gayle
Kadi: Souare
Kocha: Alan Pardew
Leicester (4-4-2): Schmeichel; Simpson, Morgan (c), Huth, Fuchs; Mahrez (Schlupp 86), Kanté, Drinkwater, Albrighton; Okazaki (Ulloah 76), Vardy
Subs zisizotumika: Amartey, Gray, Wasilewski, Inler
Goli: Mahrez 34'
Kadi: Schmeichel
Kocha: Claudio Ranieri
Refarii: Mike Jones
0 comments:
Post a Comment