
Arsenal imezinduka leo na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton na kufufua matumaini ya ubingwa ambayo yalianza kupotea kutokana na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha.
Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Goodson Park, magoli ya Arsnal yalifungwa na Danny Welbeck na Alex Iwobi mnamo dakika ya 7 na 42.
Everton (4-2-3-1): Robles 5.5; Coleman 6, Jagielka 6, Funes Mori 5, Baines 5.5; McCarthy 5.5, Besic 6 (Stones 45mins, 6); Lennon 6, Barkley 6 (Deulofeu 74 6), Cleverley 6.5; Lukaku 5.5
Subs : Howard, Galloway, Osman, Kone, Niasse
Arsenal (4-2-3-1): Ospina 6; Bellerin 6.5, Koscielny 7.5, Gabriel 6, Monreal 6; Coquelin 6.5, Elneny 6.5; Iwobi 7 (Chambers 86), Ozil 7 (Gibbs 74 6), Sanchez 8; Welbeck 7 (Giroud 74 6)
Subs ambazo hazikutumika: Macey, Chambers, Mertesacker, Walcott, Campbell
Magoli: Welbeck 7, Iwobi 42
Mwamuzi: Mark Clattenburg 5
Mchezaji bora wa mechi: Alexis Sanchez (Arsenal)
Mahudhurio ya watazamaji: 39,270
0 comments:
Post a Comment