Saturday, February 6, 2016

Wakiwa mbele ya magoli 3-0 mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy aliwakejeli mashabiki wa Man City kwa kuwaonesha vidole vitatu na duara akiashirilia kuwa wako mbele kwa mabao 3-0.
Vardy alifanya hivyo baada ya mashabiki wa Man City kumzomea mshambulizi huyo baada ya kuwakosa kosa City goli lingine ambalo lingewaweka mbele kwa mabao 4.
City wamelala leo katika dimba lao la Etihad baada ya kupoke kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa vinara wa ligi hiyo Leicester City.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video