Saturday, February 6, 2016



Riyad Mahrez amekuwa mchezaji wa kwanza katika Ligi Kuu nchini England kufikisha pasi za magoli zaidi ya kumi na magoli zaidi ya 10 'double figures' msimu huu.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Algeria amekuwa shujaa katika mchezo dhidi ya City baada ya katika ushindi wa mabao 3-1baada ya kutoa pasi mbili za magoli na kufunga goli moja maridadi.
Ushindi huo umeongeza pengo la pointi sita dhidi ya City walio katika nafasi ya pili kabla ya michezo mingine na kuzidi kujikita kileleni, huku Mahrez akizidi kuonyesha ubora wake.
Mahrez ni wa kwanza kufanya hivyo nchini Uingereza lakini si wa kwanza kwa Ulaya nzima.
Kati ya wachezaji wa Ligi za Premier League, La Liga, Serie A, Bundesliga na Ligue 1 - mshambuliaji wa Napoli Lorenzo Insigne alifikisha magoli 10 na kutoa pasi 0 za magoli mapema wiki hii baada ya kumsetia pasi nzuri Jose Callejon na kufunga goli zuri katika ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Lazio.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video