Saturday, February 6, 2016

 Leicester City wanazidi kujikita kileleni mwa ligi kuu England baada ya leo kuwatungua vigogo wa EPL Man City kwa mabao 3-1.
Licha ya kuwa hawapewi nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, vijana hao wa Ranieri wanaonekana kuwa na ari ya hali ya juu na kuwapa fursa kubwa ya kuendelea kuongoza ligi na hatimaye kutwaa ubingwa.
Ifuatayo ni michezo ambayo endapo watashinda, basi watakuwa wamejipalilia njia ya kutwaa ndoo ya EPL msimu huu

 Michezo waliyobakiza baada ya mchezo wa leo

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video