Tuesday, May 5, 2015


The CIES Football Observatory  leo wamechapisha wachezaji 15 bora vijana chini ya umri wa miaka 23 msimu huu na wameangalia idara zote kwa maana ya ulinzi, kiungo na ushambuliaji.
Kuna baadhi ya majina ya kushangaza kamavile Phil Jones aliyechukua nafasi ya kwanza kwa mabeki wa kati akiwazidi Raphael Varane na Jose Gimenez.
Katika orodha ya viungo washambuliaji, nyota  wa Real Madrid,  Isco ameongoza, wakati  Marco Verratti ameongoza orodha ya viungo wa ulinzi.
Layvin Kurzawa wa Monaco ndiye beki bora zaidi wa pembeni, huku mshambuliaji wa Lazio, Felipe Anderson akimzidi Neymar katika orodha ya washambuliaji.
Wachezaji nyota wa ligi kuu England,  Harry Kane, Philippe Coutinho, Raheem Sterling, Wilfried Zaha, Calum Chambers na Nabil Bentaleb pia wameingia kwenye orodha hiyo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video