Tuesday, May 5, 2015


Bloomberg, sio chombo kikubwa cha habari za michezo za kimataifa,lakini kimekuja na stori moja ambayo wamefanya mahojiano na bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, tajiri wa kwanza barani Afrika ambaye amethibitisha kuwa anataka kuinunua Arsenal.
Kwa mujibu wa 'The Bloomberg Billionaires Index', Ali Dangote ana utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 15.7.
Dangote alijaribu kuinunua Arsenam mwaka 2010, lakini hakufanikiwa na mpaka sasa bado ana ndoto ya kuimiliki The Gunners.
 Dangote mwenye miaka 58 amewaambia Bloomberg:
"Bado nina matumani kuwa kwa bei sahihi nitanunua timu. Lazima ninunue, sio kwa bei ya ajabu, lakini kwa bei ile ambayo wamiliki hawatakataa. Najua mpango wangu.
"Tuna uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani biliobi 16. Kwasasa nataka kuifikisha biashara yangu 'levo' fulani. Nitakapomaliza mpango huo,labda nitatuma tena ombi la kuinunua Arsenal"
Kwasasa Bilionea wa kimarekani Stan Kroenke ndiye mwenye hisa kubwa ya umliki wa Arsenal (67%) .
Kampuni ya Red & White Sec Ltd.,inayomilikiwa na bilionea  Alisher Usmanov nq Farhad Moshiri, ndio inafuatia kuwa na hisa kubwa ya umiliki wa Arsenal (30%).
Dangote ni shabiki wa Arsenal, lakini siku za nyuma alimkosea  Arsene Wenger akidai kocha huyo mwenye miaka 65 anahitaji kubadili kidogo staili ya uchezaji wake  na akasema klabu inahitaji muelekeo mpya.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video