Zimebaki mechi sita kwa Chelsea ili watangazwe kuwa mabingwa wa msimu wa mwaka 2014/2015 kwenye EPL. Hadi ikifika tarehe 24 mwezi wa 5 ndio tarehe ambayo tutakua tumeshajua bingwa ni nani. Kinyume na hapo labda mambo yaende tofauti na tutamjua bingwa mapema.
Hizi ndio mechi zinazomsubili Jose Mourinho na vijana wake.
Arsenal Vs Chelsea (Jumapili 26/7)
Leicester City Vs Chelsea (Jumatano 29/4)
Chelsea Vs Crystal Palace (Jumapili 3/5)
Chelsea Vs Liverpool (Jumapili 10/5)
West Brownwich Albion Vs Chelsea (18/5)
Chelsea Vs Sunderland (24/5)
Leicester City Vs Chelsea (Jumatano 29/4)
Chelsea Vs Crystal Palace (Jumapili 3/5)
Chelsea Vs Liverpool (Jumapili 10/5)
West Brownwich Albion Vs Chelsea (18/5)
Chelsea Vs Sunderland (24/5)


0 comments:
Post a Comment