TOTTENHAM Hotspurs imeshinda magoli 3-1 ugenini dhidi ya wenyeji Newcastle United katika mechi ya ligi kuu England iliyopigwa jioni ya leo katika dimba la Mtakatifu James Park.
Spurs walianza kuandika bao la kwanza dakika ya 30' kupitia kwa Nacer Chidli, lakini dakika ya 46' Jack Colback alisawazisha goli hilo.
Dakika ya 53' kipindi cha pili, Christian Eriksen aliifungia Spurs goli la pili na Harry Kane akapiga msumari wa mwisho dakika ya 90'.
TAKWIMU ZA MECHI HIZI HAPA...
statistics :
4
shots on target
8
3
shots off target
4
37
possession (%)
63
4
corners
3
2
offsides
6
11
fouls
13
2
yellow cards
4
6
goal kicks
8
0
treatments
1


0 comments:
Post a Comment