
KROOS (jezi namba 8)alianzisha mipango ya shambulizi kwa Real Madrid akipiga pasi safi kwenda kwa Carvajal (jezi namba 15) ambaye alimpigia krosi maridadi Cristiano Ronaldo (jezi namba 7) aliyefunga goli la kuongoza dakika ya 26' kipindi cha kwanza.
Cheki picha ya goli lilivyotengenezwa hapo chini ;

0 comments:
Post a Comment