UTAMU WA CRISTIANO RONALDO ACHA KABISA MARA chache sana kuona vitu adimu kama hivi katika soka. Hapa Cristiano Ronaldo aliruka 'tiki-taka' matata, lakini kwa bahati mbaya alishindwa kuukuta mpira kichwani kwa beki wa Schalke. Ilikuwa ni harakati za kufunga goli la pili.
0 comments:
Post a Comment