Manchester
City na Chelsea zimekuwa zikimtolea macho mchezaji huyo mwenye umri wa
miaka 26, ambaye ana thamani ya Pauni Milioni 53.
Katika mahojiano hayo, mama yake Berta Gomez, amesema: "Ameniambia anataka kwenda sehemu nyingine na kuondoka Napoli.

Kifaa: Edinson Cavani amekuwa mmoja wa washambuliaji gumzo duniani
"Edi bado hajui nini kitatokea, Napoli
ni mji wa soka. Watu wamechanganyikiwa na soka ajabu na wakati wote
nimekuwa nikimuambia mwanangu: unaweza kwenda popote, lakini hakuna
atakayekupenda kama wanavyofanya Napoli.'
Cavani
amesema itakuwa vigumu kubaki katika klabu hiyo kama watashindwa
kumshawishi kwa kuboresha kikosi ili kiweze kushinda mataji makubwa.
Kama ilivyo kwa klabu nyingi za England, Real Madrid inasadikiwa kuwa kinara wa mbio za kuwania saini ya mshambuliaji huyo.

Kiwango cha dunia: Ni mzuri kiasi cha kutosha kupata mafanikio England au Hispania
0 comments:
Post a Comment