Monday, December 24, 2012


Mabondia Mbwana Matumla wa Tanzania na David Charanga kutoka nchini Kenya wamepima uzito maeneo ya sinza leo jijini Dar es salaam kuelekea katika pambano lao la kukata na shoka litakalofanyika kesho uwanja wa taifa wa burudani Ukumbi wa Dar  Live Mbagala ikiwa ni sehemu ya kusherekea sikukuu ya Krismas.

MBWANA MATUMLA

Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania TPBO Yasin Abdalaah Ustadhi amesema mabondi wote wana uzito sahihi kwani Matumla ana kilo 57 na mwenzake Charanga ana kilo 57 ,hivyo pambano lipo tayari .

Yasin amewataka mashabiki wa ngumi kujitokeza kwa wingi hapo kesho katika ukumbi wa Dar Live kushuhudia mabondia hao bora wa afrika mashairiki watakapo panda ulingoni kurushiana masumbwi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video