Magoli ya Ujerumani yaliyofungwa na Thomas Muller (Mawili) na Joshua Kimmich wakiifumua 3-0 Norway katika mechi ya kundi C ya kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2018 Nchini Urusi iliyochezwa Dimba la Ullevaal Stadion Mjini Oslo.
Home
»
KIMATAIFA
» VIDEO: THOMAS MULLER ALIVYOKUWA NYOTA UJERUMANI IKIIGARAGAZA NORWAY KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018
Monday, September 5, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment