Monday, September 5, 2016

Shujaa wa England ikiichapa 1-0 Slovakia kwenye mechi ya kuwania kufuzu kombe la Dunia mwaka 2018 Nchini Urusi iliyochezwa Jana usiku alikuwa Adam Lallana.
Lallana alifunga bao hilo pekee la ushindi na la kwanza kwake akikipiga na timu ya Taifa ya kandanda ya England, maarufu kama 'Three Lions' yaani 'Simba Watatu' lilifungwa dakika ya mwisho ya mtanange.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video