Thursday, March 10, 2016

Wakijiandaa kukwea pipa
 Wachezaji na viongozi wa Yanga wakiwa ndani ya pipa kuwafuata APR ya Rwanda.

MABINGWA wa kandanda Tanzania Bara na wawakilishi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Young Africans Sports Club leo asubuhi wameondoka kuelekea Jijini Kigali, nchini Rwanda tayari kwa pambano lao dhidi ya APR ya nchini humo.
Yanga wameondoka kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda (RWANDA AIR), ambapo watakaribishwa na mabingwa wenzao wa Rwanda, APR FC katika mechi ya Klabu Bingwa barani Africa.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video