
Chelsea wameponea chupuchupu baaada ya kulazimishwa suluhu ya mabao 2-2 dhidi ya West Ham United, mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge.
Magoli yote ya Chelsea yalifungwa na Cesc Fabregas katika dakika ya 45 na 89, la pili akifunga kwa njia ya penati, huku West Ham wakipata magoli yao kupitia kwa Manuel Panzini na Andy Caroll katika dakika za 17 na 62.
Chelsea (4-2-3-1): Courtois 6; Ivanovic 6, Cahill 6, Terry 6, Azpilicueta 6; Mikel 6, Fabregas 8; Willian 6.5, Oscar 6.5 (Loftus-Cheek 84), Kenedy 7 (Pedro 46 6); Remy 6 (Traore 62 6.5).
Sub zisizotumika: Begovic, Baba, Matic, Pato.
Meneja: Guus Hiddink 5.5
Kadi za njano: Ivanovic, Willian, Fabregas.
West Ham (4-2-3-1): Adrian 6; Antonio 6, Reid 6, Ogbonna 6, Cresswell 6.5; Kouyate 6, Noble 6; Lanzini 7.5 (Obiang 82), Payet 7.5, Valencia 6.5 (Emenike 75 6); Sakho 6.5 (Carroll 60 7.5).
Subs zisizotumika: Randolph, Oxford, O'Brien, Song.
Meneja: Slaven Bilic 6
Kadi za njano: Reid, Ogbonna, Kouyate, Adrian, Antonio.
Referee: Robert Madley 6
Uwanja: Stamford Bridge
Mchezaji bora wa mechi: Fabregas
Mahudhurio ya watazamaji: 41,623.
Video ya magoli hii hapa
0 comments:
Post a Comment