Saturday, March 12, 2016

Gerrard will never be 'at peace' with football
Steven Gerrard amesema kwamba kamwe hatakuwa ameridhika na kipindi chake alichotumika kucheza soka punde atakapostaafu soka rasmi.
Kiungo huyo wa zamani wa Liverpool aliiacha timu yake hiyo ambayo ndiyo iliyomlea na kutimkia nchini Marekani kwenye ligi ya MSL kunako klabu ya LA Galaxy.
Akiwa Liverpoil Gerrard amecheza zaidi ya mechi 700 Liverpool, akifunga magoli 186, akishinda makombe mawili ya FA, makombe matatu ya ligi, Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2005.
Licha ya  mafanikio yote hayo, lakini Gerrard hakufanikiwa kuchukua ndoo ya EPL.
"Mara zote nimekuwa nikikukbuka kwamba nimefanikiwa kushinda makombe mbalimbali. Lakini pia huwa naharibu kuangalia changamoto nilizokutana nazo na kudhani kwamba ningetakiwa kupata mafanikio zaidi ya niliyopata.
"Sidhani kama nitakuwa na furaha. Linapokuja suala la mpira huwa nakuwa na hasira sana, na mbinafsi pia.
"Nadhani pengine nahitaji zaidi. pengine kidogo niko kama mtoto ambaye sijakuwa sawa sawa linapikuja suala la mafanikio . Ningependa pengine ningekaa hapa miaka mingine zaidi ili nipata medani nyingine kumi au zaidi."

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video