
Ally Yanga mwenye kofia akiwasaidia mashabiki wa kike kuandaa chakula kwenye kambi ya muda ya mashabiki hao


Shabiki wa soka wa hapa Kigali akivishwa jezi ya Yanga juu ya blauzi nyekundu aliyokuwa amevaa hapo awali

Hii ndio hoteli ya The Mirror ilipofikia timu ya Yanga

Mjadala mzito.....Mzee Akilimali kushoto akijadiliana jambo na meneja wa Yanga Hafidh Saleh na Godlisten Chicharito

Muonekano wa Ally Yanga kabla 'hajajivuruga'

Biashara ya jezi za Yanga inaendelea mtaani

Hali ilivyokuwa uwanjani Amahoro majira ya saa 6 kwa saa za Afrika ya kati
Kibanda cha kuuzia tiketi
Credit:http:boiplus.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment