Saturday, February 6, 2016


Manchester City wamejikuta wakiangukia pua katika dimba lao la Etihad baada ya kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa vinara wa Ligi Leicester City.
Mabao ya Leicester yalifungwa na Robert Huth katika dakika za 3, na 60 na Riyad Mahrez dakika ya 48.
Man City walijipatia goli lao la kufutia machozi lililofungwa na Sergio Aguero 'Kun' mnamo dakika ya 87.
Vikosi vilikuwa hivi
Manchester City: (4-2-3-1): Hart; Zabaleta, Otamendi, Demichelis, Kolarov; Fernandinho, Delph (Iheanacho 52); Silva (Celina 77), Toure (Fernando 52), Sterling; Aguero
Sub zilizotumika: Caballero, Clichy, Sagna, Garcia
Mfungaji: Aguero 87
Kadi za njano: Zabaleta, Fernando

Leicester City (4-4-2): Schmeichel; Simpson, Morgan, Huth, Fuchs; Mahrez (Gray 77), Drinkwater, Kante, Albrighton (Dyer 85); Okazaki (Ulloa 81), Vardy 
Sub zisizotumika: Schwarzer, Chilwell, Wasilewski, King
Wafungaji: Huth 3, 60, Mahrez 48
Kadi: Morgan, Simpson
Mwamuzi: Anthony Taylor

Msimamo huu hapa

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video