MABAO YA Aaron Ramsey na Olivier Giroud yaliwapa ushindi wa 2-0 Arsenal dhidi ya Aston Villa waliokuwa nyumbani kwao na sasa wamepanda kileleni mwa msimamo wa ligi kuu wakiwa na pointi 33, huku wakisubiri Leicester City wacheze kesho dhidi ya Chelsea.
Sunday, December 13, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment