Baada ya kufunga mabao mawili katika sare ya 2-2 kati ya Simba na Azam FC, mshambuliaji wa Mnyama Simba, Ibrahim Hajib 'Ibra Cadabra' alionekana maeneo akiwa na mrembo huyo kwenye picha. Unalionaje hilo?
Naye Golikipa wa Simba, Manyika Peter JR alikuwa na mpenzi wake, Nimaa.
Kati ya Hajib na Manyika Jr nani ana chombo cha maana?
0 comments:
Post a Comment