Kikosi cha Azam FC kimezidi kuimarika mjini Zanzibar baada ya leo wachezaji wawali watatu, Erasto Nyoni. Didier Kavumbagu na Jean Baptisite Mugireneza Migi kuwasili kambini.
Azam kesho inatarajiwa kucheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya timu ya KMKM ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan mnamo majira ya saa moja usiku.


0 comments:
Post a Comment