Tuesday, August 11, 2015

Mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar Young Africans kesho jioni wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Maafande wa Tanzania Prisons.
Mchezo huo utakaotumika na makocha wote wawili, Hans Van der Pluijm (Yanga) na Salum Mayanga (Prisons) kupima uwezo wa vikosi vyao utapigwa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya.
Baada ya mechi hiyo, Yanga watacheza mechi nyingine ya kirafiki Jumapili ya wiki hii dhidi ya Mbeya City katika uwanja huo huo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video