Goli kipa wa Manchester united ambaye amechukua namba ya David De Gea , Joel Pereira ameongeza mkataba na Manchester united.
Wakati David De Gea hatacheza kwenye mechi ya leo na kipa huyu amesaini mkataba ambao haujulikana ni wa muda gani, lakini wachambuzi wa mambo wanasema hali sio nzuri kwa De Gea na akipewa namba hatafanya makosa ili kutetea namba yake.
Pereira amesema kwamba ana furaha kuongeza mkataba mpya na Manchester united na pia anataka kufanya kazi kwa bidii zaidi ya zamani.


0 comments:
Post a Comment