Friday, August 14, 2015

Kuna wakati mashabiki wengine wanashabikia mchezaji na sio klabu.
Hali hiyo imetokea kwa mtoto Louis Diamond ambaye ni shabiki mkubwa wa Robin Van Persie. 
Baada ya Robin Van Persie kuhama kutoka Manchester United kujiunga na Fenerbahce, ikatoka video ikimuonyesha mtoto huyo akilia kwanini Van Persie ameha miaFenerbahce.
Sasa klabu ya Fenerbahce imesikia kilio cha shabiki wao huyo mkubwa na kumpa zawadi ya mapumziko ya siku mbili kutoka England hadi Uturuki kwa ajili ya kukutana na shujaa wake Van Persie. 
Safari hiyo ambayo ataambata na familia yake watalipiwa kila kitu ikiwemo usafiri na malazi kwa siku tano.
Pia Diamond atashuhudia mechi ya ufunguzi siku ya Ijumaa hii ambapo Van Persie anategemewa kucheza. 
Van alihamia Fenerbahce kwa ada ya £4.7million ndani ya kipindi hiki cha usajili.

2A7FFD0C00000578-0-image-a-2_1436810438503
2B5BF1D300000578-0-image-a-2_1439550989692

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video