Uhasama baina ya Pepe wa Real Madrid na Seydou Keita wa As Roma umeendelea kuonekana baada ya wawili hao kukaushiana katika mechi ya kirafiki iliyopigwa mapema leo.
Wakati manahodha hao wawili wakienda kuchagua milango mbele ya waamuzi, walikaushiana bila kupeana mikono.
Pepe alikuwa anamtania mwamuzi wa mechi, Mark Clattenburg, lakini hakunyosha mkono wake kumsalimia Keita, naye kiungo huyo wa Roma hakujali.
Wawili hao walianza uhasama katika mechi za El Clasico ambapo Keita alikuwa anacheza Barcelona.
Tazama Video...
0 comments:
Post a Comment