Wayne Rooney ameendelea kufurahia maisha kabla ya Jumatatu kurudi Manchester United kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya.
Nahodha huyo wa England amepigwa picha akila maisha sambamba na mtoto wake Klay pamoja na mke wake katika visiwa vya Barbados.

Mke wa Rooney, Coleen Rooney akimtazama mtoto wao wa miaka mitano Kai akifanya zoezi la kusimamia mkono mmoja.




0 comments:
Post a Comment