Saturday, July 4, 2015

Peru wamefanikiwa kushika nafasi ya tatu ya michuano ya Copa America baada ya kuwachapa waliokuwa washindi wa pili mwaka 2011, Paraguay magoli 2-0 katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu iliyopigwa usiku wa kuamkia leo.
Mabao ya Peru yamefungwa na Andre Carrillo (dk 48) na Paolo Guerrero (dk 89)
Matokeo hayo ndiyo mazuri zaidi kwa Peru tangu mwaka 1979 na 1983, huku vijana hao wa Ricardo Gareca wakitarajia kutumia morali hiyo kuelekea michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia.
Leo majira ya saa tano asiku kwa saa za Afrika mashariki, Chile na Argentina wanachuana katika mechi kali ya fainali ya Copa America.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video