Monday, July 20, 2015

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amethibitisha kuwa wachezaji wake wawili, Mohamed Salah na Filipe Luis wataruhusiwa kuondoka klabuni hapo endapo wataletewa ofa nzuri kwa ajili ya kuwauza wacheza hao.
Luis alisajiliwa kutoka Atletico Madrid msimu uliopita kwa ada ya pauni milioni 15.8, lakini ameshindwa kuonesha makali yake huku pia akihusishwa kurudi katika klabu yake ya zamani yenye maskani yake Vicente Calderon, japokuwa Mourinho amesema hali hiyo itatokea endapo ofa nzuri italetwa.
Wakati huohuo, mustakabali wa Salah pia uko mashakani baada ya kukuataa kuongeza muda wake wa mkopo kukaa katika klabu ya Fiorentina, huku Roma wakisemekana kuwa mbioni kumwania mchezaji huyo, kutokana na ukweli kwamba Mourinho amekiri kuwa nyota huyo wa M isri hana tena nafasi katika kikosi chake
"Kama wanamuhitaji basi wanatakiwa watupe hela na pia tujadili ofa yao kama ni nzuri", Mourinho aliwaambia waandishi". Halafu baada ya hapo tunatakiwa kuingia sokoni haraka iwezekanavyo.
"Naona mustakabali wa Salah kwingine kabisa, iwe ama kwa mkopo au iletwe ofa ili tumuuze. Kwa wakati huu ambapo tuna Hazard na Willian, Traore, Moses na Cuadrado, tuna takribani wachezaji 5 katika nafasi hizi. Ni vyema kama hatutakuwa nao wengi kiasi hicho".

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video