Monday, July 20, 2015

DONALD Ngoma, amejikuta akipoteza umaarufu wake kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam, baada ya kupinduliwa na mshambuliaji wa Gor Mahia, Michael Olunga ambaye kwa sasa ndiye ‘habari ya mjini’.
Ngoma aliyesajiliwa Yanga kwa mbwembwe akitokea FC Platinum ya Zimbabwe, ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kutamba kwenye michuano hiyo, lakini katika mechi yake ya kwanza tu, ameboronga na kuelekea kulipoteza jina lake.
Mshambuliaji huyo juzi alijikuta akiigharimu timu yake ya Yanga kwa kupokea kipigo cha mabao 2-1 kutokana na kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 25 baada ya kumpiga beki wa Gor Mahia, Haruna Shikanda, wakati wa mchezo wa kwanza kwa timu hizo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video