Makamu bingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam FC wameanza vyema mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na kati maarufu kama Kombe la Kagame baada ya kuichapa KCCA ya Uganda goli 1-0.
Bao pekee la Azam limefungwa na Nahodha Mwandamizi, John Raphael Bocco 'Adebayor' katika dakika ya 12' ya kipindi cha kwanza.
Licha ya ushindi huo, Azam wamelazimika kufanya kazi ya ziada kwani 'mbungi' ya KCCA si mchezo.
0 comments:
Post a Comment