David De Gea anaweza kubakia Manchester United msimu huu baada ya Real Madrid kumkabidhi rasmi golikipa wake, Keylor Navas jezi namba moja ambayo ilikuwa ikivaliwa na Iker Casillas.

Kumkabidhi Keylor Navas jezi nambo moja inamaanisha kwamba Manchester United wameweza kuzuia mpango wa Real Madrid kumsajili De Gea.
0 comments:
Post a Comment