Juventus wamemsajili mshambuliaji Mario Mandzukic kutoka Atletico Madrid kwa pauni milioni 13.6. Mshambuliaji huyo raia wa Crosia alijiunga na Atletico mwaka jana akitokea Bayern Munich na alifanikiwa kupachika mabao 20 katika mechi 43 alizocheza. Mandzukic amesaini mkataba wa miaka minne.
Tuesday, June 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment