Norwich City waliopanda daraja msimu huu wamekubali kumsajili kiungo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Youssouf Mulumbu kwa mkataba wa miaka miwili.
Mulumbu mwenye umri wa miaka 28 atahamia Norwich Julai 1, wakati mkataba wake na West Brom utakapomalizika.
0 comments:
Post a Comment