Friday, June 12, 2015

Manchester City wanajiandaa kutuma ofa ya pili Liverpool wakiomba kumsajili Raheem Sterling, kwa mujibu wa mwandishi wa Mirror, David Anderson.
Mwishoni mwa wiki iliyopita, City waliweka mezani paundi milioni 30,  lakini Liverpool walikataa wakishikilia msimamo kwamba hawawezi kumuuza Sterling  chini ya paundi milioni 50.
Anderson anasema baada ya mzigo huo kukataliwa, sasa City wanajianda kutuma mzigo mwingine wa paundi milioni 40.
Iliripotiwa kuwa Sterling anapenda kwenda London katika klabu ya Arsenal, lakini Anderson anadai sasa anapenda kwenda Etihad.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video