Watatu kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu,kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana,Picha kwa hisani ya Coastal Union.
Tukio hilo lilifanyika jana uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga Coastal Union ikishinda 3-1 dhidi ya Stand United katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara.
0 comments:
Post a Comment