Sunday, May 10, 2015

Paul Pogba amerudi kwa kasi kutoka majeruhi na kutupia goli lililoipa sare ya bao 1-1 timu yake ya Juventus dhidi ya vibonde wanaopigania kutoshuka daraja timu ya Cagliari jana Jumamosi.
Kocha wa Juve Massimiliano Allegri alipumzisha takribani nyota wake wote kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa dhidi ya Real Madrid, utakapoigwa katika dimba la Santiago Bernabeu. 
Kiungo wa Juventus Paul Pogba akijinyoosha kuupiga mpira ambao ulizaa goli la pekee kwaJuve jana.
Goli la Cagliari lilifungwa na Luca Rossettini. 

Gianluigi Buffon, Giorgio Chiellini, Leonardo Bonucci, Stephan Lichtsteiner, Fernando Llorente na Alvaro Morata wote hawa walianzia benchi. 
Kiungo mchezeshaji mkongwe wa timu hiyo, Andrea Pirlo alikuwa jukwaani kabisa kuangalia pambano hilo pamoja na mfungaji bora wa klabu hiyo kwa sasa Carlos Tevez.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video