Tuesday, May 5, 2015


Shirikisho la Soka barani Afrika leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa iliyofanyika makao makuu ya CAF, Cairo, Misri ambapo timu nane zimewekwa katika makundi mawili A na B ya ushindani.
 TP Mazembe wanayochezea washambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu  imepangwa na Smouha, Moghreb Tetouan, El Hilal.
Makundi hayo ni kama yafuatavyo.
Group A                 
Smouha (Egypt)
Moghreb Tetouan (Morocco)
TP Mazembe (DR Congo)
El Hilal (Sudan)
Group B
ES Setif (Algeria)

USM Alger (Algeria)
El Merreikh (Sudan)
MC Eulma (Algeria)caf 1
Mbali na michuano hiyo ya Klabu Bingwa pia Mkutano huo ambao uliongozwa na Katibu mkuu wa CAF Hicham El Amrani akisaidiana na makamu wa kwanza wa Rais wa shirikisho hilo Suketu Patel wakiwemo viongozi wengine wa ngazi za juu, walichezesha pia droo ya Kombe la shirikisho kwa robo fainali ambapo majibu yalikuwa kama hivi.
Ahly (Egypt) vs Club Africain (Tunisia)
Esperance (Tunisia) vs Hearts of Oak (Ghana)
AC Leopards (Congo) vs Warri Wolves (Nigeria)
CS Sfaxien (Tunisia) vs ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire)
AS Vita (DR Congo) vs Stade Malien (Mali)
Orlando Pirates (South Africa) vs AS Kaloum (Guinea)
Zamalek (Egypt) vs Sanga Balende (DR Congo)
Etoile du Sahel (Tunisia) vs Raja Athletic Club (Morocco)

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video